thank you as a friend,relative and close friend to me because your reason to this success
Monday, November 19, 2012
Katiba mpya ni jibu ya majeraha au ni njia ya kutimiza Malslahi ya watu furaha
Poleni ndugu zangu watanzania kwa jitihada ngumu za kujikwamua kimaisha ,awali ya yote ningependa kuweka wazi interests yangu katika kuamini kuwa uwepo wa utawala wowote ktk jamii ni kutimiza matakwa ya Jamii husika ,kutokana na Hali hiyo ni wazi kuwa shauku kubwa ya watanzania ni kuona njia ya Yale wanayoyatamani ,swal ni je mtazamo aw katika kwa wana chi na utawala na wadau wake vinaendana? Kwa mtazamo wangu in realistic sense we need something like a mechanism Ije ipewe support na katika na si katiba tu,naamini uwepo wa kimaamuzi ya sera za kitaifa kila mtu atakuwa dedicated for then ipewe nguvu za kisheria (national common plans for even 100 years) kwa kwanza tutafika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment