thank you as a friend,relative and close friend to me because your reason to this success

thank you as a friend,relative and close friend to me because your reason to this success

Sunday, April 24, 2011

je wajua ndugu yangu?

binadamu wote huzaliwa wakiwa na jinsia ama ya kike au  ya kiume lakini leo napenda nizungumzie zaidi jinsia ya kiume:


hivi wajua kuwa kuzaliwa mwanaume haina maana umependelewa au umeonewa ila ni maamuzi ya muumbaji kwa lengo lilelile la kumtukuza yeye hivyo basi kuzaliwa mwanaume sio sababu ya kutukana wala kunyanyasa wengine kuwa na wanawake wengi sio ulijali wala sifa za kiume wala haipunguzi maumivu ila ni sehemu ya kujivunjia utu wako na heshima kumbuka kuwa hata ndugu zetu wanaoitwa mashoga nao wana maumbile ya kiume hivyo itabaki kuwa SIFA YA KIUME NI MSIMAMO NA MUONGOZO BORA KWA YALE AYATENDAYO.........tuendelee kuwa pamoja

HAPPY EASTER YOU ALL..........welcome in my blog

thanx guys to visit my blog ni sehemu unayoweza kusema ukweli kuhusu yusuph kamote  kwa malengo ya kumjenga katika kutimiza ndoto zake na kuwa ethical leader in future kwani UONGOZI lwangu ni uwepo wa mwanadamu kuishi na jamii hivyo kwangu kuwa mwema kwa jamii inayonizunguka na nilio na upeo wa kuiona na kuisikia ni sehemu ya kutimiza kati ya ndoto nilizonazo............jisikie huru kwa majadiliano ya kitu chochote cha kujenga maadili mema kwa jamii toa maoni yako na sema unachosikia kwani uhuru wa hoja na mawazo ni kwa kila mwanadamu