thank you as a friend,relative and close friend to me because your reason to this success
Tuesday, February 19, 2013
Sunday, February 3, 2013
HONGERA KWA CCM KWA SHEREHE ZA MIAKA 36
Nimepata fursa ya kuwa mmoja kati ya waliofatilia matangazo yanayoendelea ya kutimiza miaka 36 ya chama tawala chama cha mapinduzi, sera,itikadi ya chama cha mapinduzi ni msingi wa kutimiza miaka hiyo 36 lakini changamoto kubwa na usimamizi wa chama katika utekelezwaji wa sera zake kwa manufaa ya kitaifa..narudia tena hongera CCM na sekretariati yake ikiongozwa na Ndugu Abdulrahaman Kinana
Subscribe to:
Posts (Atom)