thank you as a friend,relative and close friend to me because your reason to this success

thank you as a friend,relative and close friend to me because your reason to this success

Monday, May 9, 2011

nina mashaku na hoja hizi za nyakati?

niliwahi fikilia labda kwa udogo wa mtu unaweza ukawa sahihi lakini usiwe sawa?
lakini swali langu leo je unadhani mawazo yetu ya leo mengi yamejijenga wapi?

nilipofanya utafiti kwa kina nikagundua kuwa usahihi wetu upo kwenye ahadi na hoja ,lakini kushindwa kwetu kuwa sawa kupo katika pale tunapo amua kuingiza hoja na mipango katika vitendo inatokea tofauti sana.

        kwa kiasi furaha huu ni mwaka mpya ingawa si sawa lakini ni sahihi  ebu jiulize ni mangapi uliyopanga na linganisha na utekelezaji wake unaenda sawia na mipango yako ipo vipi kwako?

       Kwa usahihi ulioupata ebu tufikilie kufanana na usawa pia tusisahau kuwa sahihi katika matendo yetu....unachokipenda ndicho kinachokupenda na usichokipenda usikifuate maana si chaguo lako ihusishe hii katika mipango yako hakika kile ukitakacho kama ndoto ya kila mmoja kufranikiwa uone kama aijatimia

 TAMBUA UNAWEZA NA NI WEWE WA KUWEZESHA UKITAKACHO