binadamu wote huzaliwa wakiwa na jinsia ama ya kike au ya kiume lakini leo napenda nizungumzie zaidi jinsia ya kiume:
hivi wajua kuwa kuzaliwa mwanaume haina maana umependelewa au umeonewa ila ni maamuzi ya muumbaji kwa lengo lilelile la kumtukuza yeye hivyo basi kuzaliwa mwanaume sio sababu ya kutukana wala kunyanyasa wengine kuwa na wanawake wengi sio ulijali wala sifa za kiume wala haipunguzi maumivu ila ni sehemu ya kujivunjia utu wako na heshima kumbuka kuwa hata ndugu zetu wanaoitwa mashoga nao wana maumbile ya kiume hivyo itabaki kuwa SIFA YA KIUME NI MSIMAMO NA MUONGOZO BORA KWA YALE AYATENDAYO.........tuendelee kuwa pamoja
No comments:
Post a Comment